LAMECK LAWI ASAJILIWA SIMBA SC


 SIMBA SC yamsajili Lameck Lawi kutokea Coastal Union ya Tanga, mchezaji uyo anacheza nafasi ya mlinzi huku wakimuachia Kennedy Juma aliye dumu klabuni hapo kwa miaka mitano

SIMBA SC imejiandaa vilivyo kufanya usajili katika kipindi hiki cha usajili ili kurudisha heshima na ushindi wa makombe ambao ameupoteza kwa misimu takribani minne sasa na huku ikiwa ni timu ambayo itashiriki kombe la shirikisho Afrika badala ya klabu bingwa afrika.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post