Aliyekuwa mwenyekiti wa club ya Simba Sc Try Again, inayoshiriki ligi kuu ya Tanzania Bara atangaza kujiuzuru iyo jana tarehe 11/06/2024, huku aliekuwa Rais wa heshima wa Club iyo MO, akisema yupo tayali kurudi kushika nafasi hiyo ya uenyekiti katika kipindi hichi kigumu mpaka hapo itakaporudi katika ubora wake. #Nguvumoja

Post a Comment