Klabu ya Simba imemtangaza Augustine Okejepha raia wa Nigeria kuwa sehemu ya kikosi cha SIMBA SC kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea klabu ya Rivers United kuwa.
Okejepha ana umri wa miaka 20 tu na anacheza nafasi ya kiungo mlinzi. Karibu Unyamani Okojepha
Post a Comment