Mpira umemalizika kwa Yanga kushinda magoli 4 kwa 1 dhidi ya Azam Fc, magoli ya Yanga yakifungwa na Dube, azam wakijifunga, Azizi Ki pamoja na Mzize, huku goli la Azam likifungwa na Fei Toto
Yanga yaongeza goli la nne na mpira kutamatika
byNYAMBY BOY
-
0
Post a Comment