MUNGU NDIYE KIMBILIO LETU


Mungu ndiye kimbilio letu. Katika Zaburi 46:1-3 inasema:

"Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. Kwa hiyo hatutaogopa, ijapokuwa nchi itabadilika, na ijapokuwa milima itatetemeka moyo wa bahari; maji yake yajapovuma na kuumuka, milima ikatetemeka kwa kiburi chake. Sela."

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم