SIMBA SC YAACHANA NA BEKI INONGA


 Baada ya kuitumikia club ya Simba kwa misimu mitatu, sasa Henock Inonga hatukuwa sehemu ya kikosi cha SIMBA SC

Kila laheri Inonga katika maisha mapya katika klabu nyingine utakayopata

THANK YOU INONGA 

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم