الصفحة الرئيسية OMARI OMARI SASA NI SEHEMU YA SIMBA SC byNYAMBY BOY -يوليو 06, 2024 0 OMARI OMARI wa Mashujaa ya Kigoma amedhibitishwa kusain mkataba wa miaka miwili msimbazi, atakuwa sehemu ya Simba msimu ujaoOmari Omari ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 19 tu akifanikiwa kuwa mchezaji mzuri katika nafasi ya kiungo mshamuliaji.
إرسال تعليق