SIMBA SC YAANZA MAANDALIZI YA MSIMU UJAO 2024/2025

Klabu ya Simba imeanza rasimi maandalizi ya msimu ujao 2024/2025, ambapo imeenda kufanya maandalizi yake nchini Misri.
Siku ya leo wameanza mazoezi rasimi kuweka miili Yao Sawa kwa maandalizi mazito.


0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم