Yanga Ni Dakika 41 tu washamburuza Azamu 3 kwa 1

 Yanga Afrikani yaendelea kuonesha ubabe wake baada ya kuitandika Azam FC ndani ya dakika 30 za mwanzo magoli matatu kwa 1. Goli la Azam Fc limefungwa na Fei Toto na kwa Yanga ni Azizi Ki, Prince Dube huku goli la pili wakijifunga Azam.



0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم